Walawi 20:23 - Swahili Revised Union Version23 Nanyi msiende kwa kuzifuata desturi za taifa, niitoayo mbele yenu; kwa kuwa wao waliyafanya mambo hayo yote, na kwa ajili ya hayo niliwachukia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 Msizifuate desturi za taifa ninalolifukuza mbele yenu; kwani waliyafanya hayo yote, nami nikawachukia sana. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 Msizifuate desturi za taifa ninalolifukuza mbele yenu; kwani waliyafanya hayo yote, nami nikawachukia sana. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 Msizifuate desturi za taifa ninalolifukuza mbele yenu; kwani waliyafanya hayo yote, nami nikawachukia sana. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 Kamwe msiishi kwa kufuata desturi za mataifa nitakayoyafukuza mbele yenu. Kwa sababu walifanya mambo haya yote, nilichukizwa sana nao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 Kamwe msiishi kwa kufuata desturi za mataifa nitakayoyafukuza mbele yenu. Kwa sababu walifanya mambo haya yote, nami nikachukizwa sana nao. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI23 Nanyi msiende kwa kuzifuata desturi za taifa, nilitoalo mbele yenu; kwa kuwa wao waliyafanya mambo hayo yote, na kwa ajili ya hayo niliwachukia. Tazama sura |