Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Walawi 20:15 - Swahili Revised Union Version

15 Tena mwanamume akilala na mnyama, hakika atauawa; nanyi mtamwua huyo mnyama.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

15 Kama mwanamume yeyote akilala na mnyama ni lazima auawe; na mnyama huyo lazima auawe.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

15 Kama mwanamume yeyote akilala na mnyama ni lazima auawe; na mnyama huyo lazima auawe.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

15 Kama mwanamume yeyote akilala na mnyama ni lazima auawe; na mnyama huyo lazima auawe.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

15 “ ‘Kama mwanaume akikutana kimwili na mnyama, ni lazima auawe, na pia ni lazima mnyama huyo auawe.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

15 “ ‘Kama mwanaume akikutana kimwili na mnyama, ni lazima auawe, na pia ni lazima mnyama huyo auawe.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

15 Tena mwanamume akilala na mnyama, hakika atauawa; nanyi mtamwua huyo mnyama.

Tazama sura Nakili

Walawi 20:15
4 Marejeleo ya Msalaba  

Mtu yeyote alalaye na mnyama sharti atauawa.

Wala usilale na mnyama yeyote, ili kujitia unajisi kwake; wala mwanamke asisimame mbele ya mnyama ili kulala naye; ni upotovu.

Tena mwanamke akimmwendea mnyama yeyote, na kulala pamoja naye, mtamwua huyo mwanamke, na mnyama pia; hakika watauawa; damu yao itakuwa ni juu yao.

Na alaaniwe alalaye na mnyama wa aina yoyote. Na watu wote waseme, Amina.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo