Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Walawi 19:24 - Swahili Revised Union Version

24 Lakini mwaka wa nne matunda yake yote yatakuwa ni matakatifu, kwa ajili ya kumpa BWANA shukrani.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

24 Mnamo mwaka wa nne matunda yake yote yatakuwa matakatifu, yatatolewa kuwa sadaka ya sifa, kwa Mwenyezi-Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

24 Mnamo mwaka wa nne matunda yake yote yatakuwa matakatifu, yatatolewa kuwa sadaka ya sifa, kwa Mwenyezi-Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

24 Mnamo mwaka wa nne matunda yake yote yatakuwa matakatifu, yatatolewa kuwa sadaka ya sifa, kwa Mwenyezi-Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

24 Katika mwaka wa nne matunda yote ya mti huo yatakuwa matakatifu, sadaka ya sifa kwa Mwenyezi Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

24 Katika mwaka wa nne matunda yote ya mti huo yatakuwa matakatifu, sadaka ya sifa kwa bwana.

Tazama sura Nakili




Walawi 19:24
7 Marejeleo ya Msalaba  

Mheshimu BWANA kwa mali yako, Na kwa malimbuko ya mazao yako yote.


Nanyi mtakapoingia katika nchi ile, na kupanda miti ya namna zote kwa ajili ya chakula, ndipo mtayahesabu matunda yake kama yaliyotakazwa; kwa muda wa miaka mitatu miti hiyo itakuwa kwenu kama katazo; matunda yake hayataliwa.


Na katika mwaka wa tano mtakula matunda yake, ili ipate kuwapa mavuno yake; mimi ndimi BWANA, Mungu wenu.


Malimbuko ya nafaka zako, na divai yako, na mafuta yako, na manyoya ya kwanza ya kondoo wako, umpe.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo