Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Walawi 18:9 - Swahili Revised Union Version

9 Utupu wa dada yako, binti ya baba yako, au binti ya mama yako, awe alizaliwa nyumbani mwenu au kwingine, utupu wa hao usifunue.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 Kamwe usilale na dada yako, awe ni dada yako halisi au dada yako wa kambo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 Kamwe usilale na dada yako, awe ni dada yako halisi au dada yako wa kambo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 Kamwe usilale na dada yako, awe ni dada yako halisi au dada yako wa kambo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 “ ‘Usikutane kimwili na dada yako, wala binti ya baba yako, au binti ya mama yako, awe amezaliwa katika nyumba hiyo au mahali pengine.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 “ ‘Usikutane kimwili na dada yako, wala binti wa baba yako, au binti wa mama yako, awe amezaliwa katika nyumba hiyo au mahali pengine.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

9 Utupu wa dada yako, binti ya baba yako, au binti ya mama yako, awe alizaliwa nyumbani mwenu au kwingine, utupu wa hao usifunue.

Tazama sura Nakili




Walawi 18:9
6 Marejeleo ya Msalaba  

Na mtu mmoja amefanya chukizo pamoja na mke wa jirani yake; na mtu mwingine amemharibu mke wa mwanawe kwa uasherati; na mtu mwingine ndani yako amemfanyia nguvu dada yake, binti ya babaye.


Utupu wa binti ya mwanao wa kiume, au wa binti ya binti yako, utupu wao hao usifunue; kwa kuwa ni utupu wako mwenyewe.


Utupu wa binti ya mkewe baba yako, aliyezaliwa na baba yako, yeye ni dada yako, usifunue utupu wake.


Tena mwanamume akimwoa dada yake, binti ya baba yake, au binti ya mama yake, na kuuona utupu wake, na huyo mwanamke kauona utupu wake huyo mwanamume; ni jambo la aibu; watengwa mbele ya macho ya wana wa watu wao; amefunua utupu wa dada yake; naye atauchukua uovu wake.


Na alaaniwe alalaye na dada yake, binti ya babaye, au binti ya mamaye. Na watu wote waseme, Amina.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo