Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Walawi 18:19 - Swahili Revised Union Version

19 Usimwendee mwanamke kufunua utupu wake atakapokuwa najisi kwa ajili ya hedhi.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

19 “Kamwe usilale na mwanamke awapo mwezini.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

19 “Kamwe usilale na mwanamke awapo mwezini.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

19 “Kamwe usilale na mwanamke awapo mwezini.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

19 “ ‘Usimsogelee mwanamke ili kukutana naye kimwili wakati wa unajisi wa siku zake za mwezi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

19 “ ‘Usimsogelee mwanamke ili kukutana naye kimwili wakati wa unajisi wa siku zake za mwezi.

Tazama sura Nakili




Walawi 18:19
8 Marejeleo ya Msalaba  

Basi Daudi akatuma wajumbe, akamtwaa; naye akaingia kwake; naye akalala naye; (maana yule mwanamke amekwisha kutakasika unajisi wake); kisha akarudi nyumbani kwake.


hakula juu ya milima, wala hakuviinulia macho vinyago vya nyumba ya Israeli, wala hakumtia unajisi mke wa jirani yake, wala hakumkaribia mwanamke wakati wa kutengwa kwake;


Ndani yako wamefunua uchi wa baba zao; ndani yako wamemfanyia nguvu mwanamke asiye safi wakati wa kutengwa kwake.


Nena na hao wana wa Israeli, uwaambie, Mwanamke akitunga mimba na kuzaa mtoto wa kiume, ndipo atakuwa najisi siku saba; kama katika siku za kutengwa kwake kwa ajili ya hedhi ndivyo atakavyokuwa najisi.


Mwanamke yeyote aliye na hedhi, atatengwa kwa muda wa siku saba; na mtu yeyote atakayemgusa atakuwa najisi hadi jioni.


Na mtu yeyote atakayelala na mwanamke na unajisi ukawa juu yake, atakuwa najisi muda wa siku saba; na kila kitanda alichokilalia kitakuwa najisi.


Wala usitwae mwanamke pamoja na dada yake, awe mtesi wake, na kufunua utupu wake, dada yake akiwa hai.


Tena mwanamume akilala na mwanamke aliye na ugonjwa wake, na kufunua utupu wake; amefunua jito la damu yake, naye mwanamke amefunua jito la damu yake; wote wawili watatengwa mbali na watu wao.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo