Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Walawi 17:2 - Swahili Revised Union Version

2 Sema na Haruni, na wanawe, na wana wote wa Israeli, uwaambie; Neno hili ndilo aliloamuru BWANA,

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

2 “Mwambie Aroni, wanawe na watu wote wa Israeli amri zifuatazo:

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

2 “Mwambie Aroni, wanawe na watu wote wa Israeli amri zifuatazo:

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

2 “Mwambie Aroni, wanawe na watu wote wa Israeli amri zifuatazo:

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

2 “Sema na Haruni na wanawe, pamoja na Waisraeli wote, uwaambie: ‘Hili ndilo Mwenyezi Mungu aliloagiza:

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

2 “Sema na Haruni na wanawe, pamoja na Waisraeli wote, uwaambie: ‘Hili ndilo bwana aliloagiza:

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

2 Sema na Haruni, na wanawe, na wana wote wa Israeli, uwaambie; Neno hili ndilo aliloamuru BWANA,

Tazama sura Nakili

Walawi 17:2
4 Marejeleo ya Msalaba  

Wana wa Amramu; Haruni na Musa; naye Haruni akatengwa, ili ayatakase yaliyo matakatifu sana, yeye na wanawe milele, ili kufukiza uvumba mbele za BWANA, kumtumikia, na kubariki kwa jina lake, milele.

BWANA akamwambia Musa

Mtu yeyote wa nyumba ya Israeli atakayechinja ng'ombe, mwana-kondoo, au mbuzi, ndani au nje ya kambi,

Ujihadhari usitoe sadaka zako za kuteketezwa katika kila mahali upaonapo;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo