Walawi 17:12 - Swahili Revised Union Version12 Kwa hiyo niliwaambia wana wa Israeli, Hapana mtu miongoni mwenu aliye na ruhusa kula damu, wala mgeni aishiye kati yenu asile damu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Ndiyo maana nimewaagiza Waisraeli hivi: Mtu yeyote miongoni mwenu wala mgeni anayeishi kati yenu kamwe asile damu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Ndiyo maana nimewaagiza Waisraeli hivi: Mtu yeyote miongoni mwenu wala mgeni anayeishi kati yenu kamwe asile damu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Ndiyo maana nimewaagiza Waisraeli hivi: mtu yeyote miongoni mwenu wala mgeni anayeishi kati yenu kamwe asile damu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Kwa hiyo, ninawaambia Waisraeli, “Hakuna hata mmoja wenu anayeruhusiwa kula damu, wala mgeni anayeishi miongoni mwenu haruhusiwi kula damu.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Kwa hiyo, ninawaambia Waisraeli, “Hakuna hata mmoja wenu anayeruhusiwa kunywa damu, wala mgeni anayeishi miongoni mwenu haruhusiwi kunywa damu.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI12 Kwa hiyo niliwaambia wana wa Israeli, Hapana mtu miongoni mwenu aliye na ruhusa kula damu, wala mgeni aishiye kati yenu asile damu. Tazama sura |