Walawi 16:1 - Swahili Revised Union Version1 BWANA akasema na Musa, baada ya kufa kwa hao wana wawili wa Haruni, walipokaribia mbele za BWANA, wakafa; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Mwenyezi-Mungu alizungumza na Mose, baada ya wana wawili wa Aroni kufa wakati ule walipomkaribia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Mwenyezi-Mungu alizungumza na Mose, baada ya wana wawili wa Aroni kufa wakati ule walipomkaribia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Mwenyezi-Mungu alizungumza na Mose, baada ya wana wawili wa Aroni kufa wakati ule walipomkaribia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Mwenyezi Mungu akasema na Musa baada ya kifo cha wale wana wawili wa Haruni waliokufa walipokaribia mbele za Mwenyezi Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 bwana akasema na Musa baada ya kifo cha wale wana wawili wa Haruni waliokufa walipokaribia mbele za bwana. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI1 BWANA akasema na Musa, baada ya kufa kwa hao wana wawili wa Haruni, walipokaribia mbele za BWANA, wakafa; Tazama sura |