Walawi 15:14 - Swahili Revised Union Version14 Na siku ya nane atajipatia hua wawili, au makinda mawili ya njiwa, naye atakwenda mbele za BWANA mlangoni pa hema ya kukutania, naye atampa kuhani hao ndege; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Siku ya nane, ni lazima alete hua wawili au makinda mawili ya njiwa mbele ya Mwenyezi-Mungu mlangoni mwa hema la mkutano na kumkabidhi kuhani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Siku ya nane, ni lazima alete hua wawili au makinda mawili ya njiwa mbele ya Mwenyezi-Mungu mlangoni mwa hema la mkutano na kumkabidhi kuhani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Siku ya nane, ni lazima alete hua wawili au makinda mawili ya njiwa mbele ya Mwenyezi-Mungu mlangoni mwa hema la mkutano na kumkabidhi kuhani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Siku ya nane, atachukua hua wawili au makinda wawili wa njiwa, aje mbele za Mwenyezi Mungu kwenye ingilio la Hema la Kukutania, na kumpa kuhani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Siku ya nane, atachukua hua wawili au makinda mawili ya njiwa, aje mbele za bwana kwenye ingilio la Hema la Kukutania, na kumpa kuhani. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI14 Na siku ya nane atajipatia hua wawili, au makinda mawili ya njiwa, naye atakwenda mbele za BWANA mlangoni pa hema ya kukutania, naye atampa kuhani hao ndege; Tazama sura |