Walawi 14:3 - Swahili Revised Union Version3 na huyo kuhani atatoka aende nje ya kambi; na kuhani ataangalia, ikiwa pigo la ukoma limepoa kwake huyo mwenye ukoma; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Kuhani atakwenda kumwangalia huyo mtu nje ya kambi. Ikiwa ukoma huo umepona, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Kuhani atakwenda kumwangalia huyo mtu nje ya kambi. Ikiwa ukoma huo umepona, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Kuhani atakwenda kumwangalia huyo mtu nje ya kambi. Ikiwa ukoma huo umepona, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Kuhani ataenda kumchunguza nje ya kambi. Kama mtu huyo atakuwa amepona ugonjwa wake wa ngozi wa kuambukiza, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Kuhani atakwenda kumchunguza nje ya kambi. Kama mtu huyo atakuwa amepona ugonjwa wake wa ngozi wa kuambukiza, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 na huyo kuhani atatoka aende nje ya kambi; na kuhani ataangalia, ikiwa pigo la ukoma limepoa kwake huyo mwenye ukoma; Tazama sura |