Walawi 11:22 - Swahili Revised Union Version22 katika hao mna ruhusa kuwala; nzige kwa aina zake, na nzige kuu kwa aina zake, na panzi kwa aina zake, na parare kwa aina zake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 Hao ni: Kila aina ya nzige, kila aina ya senene, kila aina ya panzi na kila aina ya parare. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 Hao ni: Kila aina ya nzige, kila aina ya senene, kila aina ya panzi na kila aina ya parare. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 Hao ni: kila aina ya nzige, kila aina ya senene, kila aina ya panzi na kila aina ya parare. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 Miongoni mwa hawa, mtakula nzige wa aina zote, senene, parare au panzi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 Miongoni mwa hawa, mtakula nzige wa aina zote, senene, parare au panzi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI22 katika hao mna ruhusa kuwala; nzige kwa aina zake, na nzige kuu kwa aina zake, na panzi kwa aina zake, na parare kwa aina zake. Tazama sura |