Walawi 1:14 - Swahili Revised Union Version14 Ikawa matoleo yake atakayomtolea BWANA kuwa sadaka ya kuteketezwa, ni ya ndege, ndipo atakapoleta matoleo yake katika hua au katika makinda ya njiwa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 “Ikiwa anamtolea Mwenyezi-Mungu sadaka ya kuteketezwa ya ndege, basi, ataleta sadaka yake ya hua au kinda la njiwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 “Ikiwa anamtolea Mwenyezi-Mungu sadaka ya kuteketezwa ya ndege, basi, ataleta sadaka yake ya hua au kinda la njiwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 “Ikiwa anamtolea Mwenyezi-Mungu sadaka ya kuteketezwa ya ndege, basi, ataleta sadaka yake ya hua au kinda la njiwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 “ ‘Ikiwa sadaka inayotolewa kwa Mwenyezi Mungu ni sadaka ya kuteketezwa ya ndege, atamtoa hua au kinda la njiwa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 “ ‘Kama sadaka ya kuteketezwa inayotolewa kwa bwana ni ndege, atamtoa hua au kinda la njiwa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI14 Ikawa matoleo yake atakayomtolea BWANA kuwa sadaka ya kuteketezwa, ni ya ndege, ndipo atakapoleta matoleo yake katika hua au katika makinda ya njiwa. Tazama sura |