Walawi 1:11 - Swahili Revised Union Version11 Naye atamchinja hapo upande wa madhabahu ulioelekea kaskazini mbele za BWANA; na wana wa Haruni, hao makuhani, watainyunyiza damu yake juu ya madhabahu pande zote. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Atamchinjia upande wa kaskazini wa madhabahu, mbele ya Mwenyezi-Mungu, hao makuhani, wazawa wa Aroni watainyunyizia madhabahu damu pande zake zote. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Atamchinjia upande wa kaskazini wa madhabahu, mbele ya Mwenyezi-Mungu, hao makuhani, wazawa wa Aroni watainyunyizia madhabahu damu pande zake zote. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Atamchinjia upande wa kaskazini wa madhabahu, mbele ya Mwenyezi-Mungu, hao makuhani, wazawa wa Aroni watainyunyizia madhabahu damu pande zake zote. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Atamchinjia upande wa kaskazini wa madhabahu mbele za Mwenyezi Mungu, nao wana wa Haruni walio makuhani watanyunyizia damu yake pande zote za madhabahu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Atamchinjia upande wa kaskazini wa madhabahu mbele za bwana, nao wana wa Haruni walio makuhani watanyunyizia damu yake pande zote za madhabahu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI11 Naye atamchinja hapo upande wa madhabahu ulioelekea kaskazini mbele za BWANA; na wana wa Haruni, hao makuhani, watainyunyiza damu yake juu ya madhabahu pande zote. Tazama sura |