Wakolosai 3:4 - Swahili Revised Union Version4 Kristo atakapofunuliwa, aliye uhai wetu, ndipo na ninyi mtafunuliwa pamoja naye katika utukufu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Uhai wenu halisi ni Kristo, na wakati atakapotokea ndipo nanyi pia mtakapotokea pamoja naye katika utukufu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Uhai wenu halisi ni Kristo, na wakati atakapotokea ndipo nanyi pia mtakapotokea pamoja naye katika utukufu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Uhai wenu halisi ni Kristo, na wakati atakapotokea ndipo nanyi pia mtakapotokea pamoja naye katika utukufu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Al-Masihi, aliye uzima wenu, atakapofunuliwa, ndipo nanyi mtafunuliwa pamoja naye katika utukufu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Wakati Al-Masihi, aliye uzima wenu, atakapotokea, ndipo nanyi mtakapotokea pamoja naye katika utukufu. Tazama sura |