Wafilipi 3:18 - Swahili Revised Union Version18 Maana wengi huenda, ambao nimewaambieni mara nyingi habari zao, na sasa nawaambia hata kwa machozi, kuwa ni adui za msalaba wa Kristo; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Nimekwisha waambieni jambo hili mara nyingi, na sasa narudia tena kwa machozi: Watu wengi wanaishi kama maadui wa msalaba wa Kristo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Nimekwisha waambieni jambo hili mara nyingi, na sasa narudia tena kwa machozi: Watu wengi wanaishi kama maadui wa msalaba wa Kristo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Nimekwisha waambieni jambo hili mara nyingi, na sasa narudia tena kwa machozi: watu wengi wanaishi kama maadui wa msalaba wa Kristo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Kwa maana, kama nilivyokwisha kuwaambia mara nyingi kabla, nami sasa nasema tena hata kwa machozi, watu wengi wanaishi kama adui wa msalaba wa Al-Masihi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Kwa maana, kama nilivyokwisha kuwaambia mara nyingi kabla, nami sasa nasema tena hata kwa machozi, watu wengi wanaishi kama adui wa msalaba wa Al-Masihi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI18 Maana wengi huenda, ambao nimewaambia mara nyingi habari zao, na sasa nawaambia hata kwa machozi, kuwa ni adui za msalaba wa Kristo; Tazama sura |