Wafilipi 2:23 - Swahili Revised Union Version23 Basi, natumaini kumtuma huyo mara, hapo nitakapojua yatakayonipata. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 Kwa hiyo natumaini kumtuma kwenu mara nitakapojua jinsi mambo yatakavyoniendea. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 Kwa hiyo natumaini kumtuma kwenu mara nitakapojua jinsi mambo yatakavyoniendea. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 Kwa hiyo natumaini kumtuma kwenu mara nitakapojua jinsi mambo yatakavyoniendea. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 Kwa hiyo, ninatumaini kumtuma kwenu upesi mara nitakapojua mambo yangu yatakavyokuwa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 Kwa hiyo, ninatumaini kumtuma kwenu upesi mara nitakapojua mambo yangu yatakavyokuwa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI23 Basi, natumaini kumtuma huyo mara, hapo nitakapojua yatakayonipata. Tazama sura |