Wafilipi 1:29 - Swahili Revised Union Version29 Maana mmepewa kwa ajili ya Kristo, si kumwamini tu, ila na kuteswa kwa ajili yake; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema29 Maana nyinyi mmepewa fadhili ya kumtumikia Kristo si tu kwa kumwamini bali pia kwa kuteswa kwa ajili yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND29 Maana nyinyi mmepewa fadhili ya kumtumikia Kristo si tu kwa kumwamini bali pia kwa kuteswa kwa ajili yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza29 Maana nyinyi mmepewa fadhili ya kumtumikia Kristo si tu kwa kumwamini bali pia kwa kuteswa kwa ajili yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu29 Kwa maana mmepewa kwa ajili ya Al-Masihi, si kumwamini tu, bali pia kuteswa kwa ajili yake, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu29 Kwa maana mmepewa kwa ajili ya Al-Masihi, si kumwamini tu, bali pia kuteswa kwa ajili yake, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI29 Maana mmepewa kwa ajili ya Kristo, si kumwamini tu, ila na kuteswa kwa ajili yake; Tazama sura |