Waefeso 6:22 - Swahili Revised Union Version22 ambaye ninamtuma kwenu kwa kusudi lilo hilo mpate kuzijua habari zetu, naye awafariji mioyo yenu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 Namtuma kwenu awapeni habari zetu mpate kuwa na moyo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 Namtuma kwenu awapeni habari zetu mpate kuwa na moyo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 Namtuma kwenu awapeni habari zetu mpate kuwa na moyo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 Ninamtuma kwenu kwa ajili ya kusudi hili hasa, ili mpate kujua hali yetu, na awatie moyo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 Ninamtuma kwenu kwa ajili ya kusudi hili hasa, ili mpate kujua hali yetu, na awatie moyo. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI22 ambaye ninamtuma kwenu kwa kusudi lilo hilo mpate kuzijua habari zetu, naye awafariji mioyo yenu. Tazama sura |