Waefeso 6:14 - Swahili Revised Union Version14 Basi simameni, mkiwa mmejifunga kweli viunoni, na kuvaa dirii ya haki kifuani, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Basi, kaeni tayari. Ukweli na uwe kama mkanda kiunoni mwenu, uadilifu uwe kama vazi la kujikinga kifuani, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Basi, kaeni tayari. Ukweli na uwe kama mkanda kiunoni mwenu, uadilifu uwe kama vazi la kujikinga kifuani, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Basi, kaeni tayari. Ukweli na uwe kama mkanda kiunoni mwenu, uadilifu uwe kama vazi la kujikinga kifuani, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Kwa hiyo simameni imara mkiwa mmejifunga kweli kiunoni na kuvaa dirii ya haki kifuani, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Kwa hiyo simameni imara mkiwa mmejifunga kweli kiunoni na kuvaa dirii ya haki kifuani, Tazama sura |