Waefeso 5:32 - Swahili Revised Union Version32 Siri hiyo ni kubwa; ila mimi nanena habari ya Kristo na kanisa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema32 Kuna ukweli uliofichika katika maneno haya, nami naona kwamba yamhusu Kristo na kanisa lake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND32 Kuna ukweli uliofichika katika maneno haya, nami naona kwamba yamhusu Kristo na kanisa lake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza32 Kuna ukweli uliofichika katika maneno haya, nami naona kwamba yamhusu Kristo na kanisa lake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu32 Siri hii ni kubwa, bali mimi nanena kuhusu Al-Masihi na jumuiya ya waumini wake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu32 Siri hii ni kubwa, bali mimi nanena kuhusu Al-Masihi na jumuiya ya waumini wake. Tazama sura |