Waebrania 7:7 - Swahili Revised Union Version7 Wala haikanushiki kabisa kwamba mdogo hubarikiwa na mkubwa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Hakuna mashaka hata kidogo kwamba anayebariki ni mkuu kuliko yule anayebarikiwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Hakuna mashaka hata kidogo kwamba anayebariki ni mkuu kuliko yule anayebarikiwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Hakuna mashaka hata kidogo kwamba anayebariki ni mkuu kuliko yule anayebarikiwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Wala hakuna shaka kwamba mdogo hubarikiwa na aliye mkuu kuliko yeye. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Wala hakuna shaka kwamba mdogo hubarikiwa na aliye mkuu kumliko yeye. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI7 Wala haikanushiki kabisa kwamba mdogo hubarikiwa na mkubwa. Tazama sura |
Ndipo Daudi akarudi ili awabariki watu wa nyumbani mwake. Na Mikali, binti Sauli, akatoka nje aende kumlaki Daudi, naye akasema, Mfalme wa Israeli alikuwa mtukufu leo namna gani, akijifunua mwili wake mbele ya vijakazi vya watumishi wake, mfano wa watu baradhuli mmojawapo, ajifunuavyo mwili wake mbele ya watu, asipokuwa na haya!