Waebrania 7:4 - Swahili Revised Union Version4 Basi, angalieni jinsi mtu huyo alivyokuwa mkuu, ambaye Abrahamu, baba yetu mkuu, alimpa sehemu ya kumi ya nyara. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Basi, mwaona jinsi mtu huyu alivyokuwa maarufu. Babu Abrahamu alimpa sehemu moja ya kumi ya vitu vyote alivyoteka nyara vitani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Basi, mwaona jinsi mtu huyu alivyokuwa maarufu. Babu Abrahamu alimpa sehemu moja ya kumi ya vitu vyote alivyoteka nyara vitani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Basi, mwaona jinsi mtu huyu alivyokuwa maarufu. Babu Abrahamu alimpa sehemu moja ya kumi ya vitu vyote alivyoteka nyara vitani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Tazama jinsi alivyokuwa mkuu: Hata Ibrahimu, baba yetu wa zamani, alimpa sehemu ya kumi ya nyara zake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Tazama jinsi alivyokuwa mkuu: Hata Ibrahimu, baba yetu mkuu, alimpa sehemu ya kumi ya nyara zake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Basi, angalieni jinsi mtu huyo alivyokuwa mkuu, ambaye Abrahamu, baba yetu mkuu, alimpa sehemu ya kumi ya nyara. Tazama sura |