Waebrania 5:4 - Swahili Revised Union Version4 Na hapana mtu ajitwaliaye mwenyewe heshima hii, ila yeye aitwaye na Mungu, kama vile Haruni. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Hakuna mtu awezaye kujifanya mwenyewe kuwa kuhani mkuu. Kila mmoja huteuliwa na Mungu kuwa kuhani mkuu kama alivyokuwa Aroni. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Hakuna mtu awezaye kujifanya mwenyewe kuwa kuhani mkuu. Kila mmoja huteuliwa na Mungu kuwa kuhani mkuu kama alivyokuwa Aroni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Hakuna mtu awezaye kujifanya mwenyewe kuwa kuhani mkuu. Kila mmoja huteuliwa na Mungu kuwa kuhani mkuu kama alivyokuwa Aroni. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Hakuna anayejitwalia heshima hii mwenyewe; ni lazima aitwe na Mungu, kama vile Haruni alivyoitwa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Hakuna anayejitwalia heshima hii mwenyewe; ni lazima aitwe na Mwenyezi Mungu, kama vile Haruni alivyoitwa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Na hapana mtu ajitwaliaye mwenyewe heshima hii, ila yeye aitwaye na Mungu, kama vile Haruni. Tazama sura |