Waebrania 4:8 - Swahili Revised Union Version8 Maana kama Yoshua angaliwapa pumziko, asingaliinena siku nyingine baadaye. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Kama Yoshua angekuwa amewapa watu hao hilo pumziko, Mungu hangalisema baadaye juu ya siku nyingine. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Kama Yoshua angekuwa amewapa watu hao hilo pumziko, Mungu hangalisema baadaye juu ya siku nyingine. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Kama Yoshua angekuwa amewapa watu hao hilo pumziko, Mungu hangalisema baadaye juu ya siku nyingine. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Kwa maana kama Yoshua angelikuwa amewapa raha, Mungu hangesema tena baadaye kuhusu siku nyingine. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Kwa maana kama Yoshua alikuwa amewapa raha, Mwenyezi Mungu hangesema tena baadaye kuhusu siku nyingine. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI8 Maana kama Yoshua angaliwapa pumziko, asingaliinena siku nyingine baadaye. Tazama sura |