Waebrania 13:19 - Swahili Revised Union Version19 Nami nawasihi zaidi sana kufanya hayo ili nirudishwe kwenu upesi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Nawasihi sana mniombee ili Mungu anirudishe kwenu upesi iwezekanavyo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Nawasihi sana mniombee ili Mungu anirudishe kwenu upesi iwezekanavyo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Nawasihi sana mniombee ili Mungu anirudishe kwenu upesi iwezekanavyo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Ninawasihi zaidi mniombee ili nipate kurudishwa kwenu upesi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Ninawasihi zaidi mniombee ili nipate kurudishwa kwenu upesi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI19 Nami nawasihi zaidi sana kufanya hayo ili nirudishwe kwenu upesi. Tazama sura |