Waebrania 13:14 - Swahili Revised Union Version14 Maana hapa hatuna mji udumuo, bali twautafuta ule ujao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Maana hapa duniani hatuna mji wa kudumu; lakini tunautafuta ule unaokuja. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Maana hapa duniani hatuna mji wa kudumu; lakini tunautafuta ule unaokuja. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Maana hapa duniani hatuna mji wa kudumu; lakini tunautafuta ule unaokuja. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Kwa kuwa hapa hatuna mji udumuo, bali tunautafuta ule ujao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Kwa kuwa hapa hatuna mji udumuo, bali tunautafuta ule ujao. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI14 Maana hapa hatuna mji udumuo, bali twautafuta ule ujao. Tazama sura |