Waebrania 13:10 - Swahili Revised Union Version10 Tuna madhabahu ambayo wale waihudumiayo ile hema hawana ruhusa kula vitu vyake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Sisi tunayo madhabahu ambayo wale wanaotumikia bado katika hema la Wayahudi hawana haki ya kula vitu vyake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Sisi tunayo madhabahu ambayo wale wanaotumikia bado katika hema la Wayahudi hawana haki ya kula vitu vyake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Sisi tunayo madhabahu ambayo wale wanaotumikia bado katika hema la Wayahudi hawana haki ya kula vitu vyake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Sisi tunayo madhabahu ambayo wale wanaohudumu katika hema hawana haki ya kula vile vitu vilivyowekwa juu yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Sisi tunayo madhabahu ambayo wale wanaohudumu katika hema hawana haki ya kula vile vitu vilivyowekwa juu yake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI10 Tuna madhabahu ambayo wale waihudumiayo ile hema hawana ruhusa kula vitu vyake. Tazama sura |