Waebrania 12:21 - Swahili Revised Union Version21 Na hayo yaliyoonekana jinsi yalivyokuwa ya kutisha, hata Musa akasema, Nimeshikwa na hofu na kutetemeka. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Hayo yote yalionekana ya kutisha mno, hata Mose akasema, “Naogopa na kutetemeka.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Hayo yote yalionekana ya kutisha mno, hata Mose akasema, “Naogopa na kutetemeka.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Hayo yote yalionekana ya kutisha mno, hata Mose akasema, “Naogopa na kutetemeka.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Waliyoyaona yalikuwa ya kutisha kiasi kwamba Musa alisema, “Ninatetemeka kwa hofu.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Waliyoyaona yalikuwa ya kutisha kiasi kwamba Musa alisema, “Ninatetemeka kwa hofu.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI21 Na hayo yaliyoonekana jinsi yalivyokuwa ya kutisha, hata Musa akasema, Nimeshikwa na hofu na kutetemeka. Tazama sura |