Waebrania 12:12 - Swahili Revised Union Version12 Kwa hiyo inyosheni mikono iliyolegea na magoti yaliyopooza, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Basi, inueni mikono yenu inayolegea na kuimarisha magoti yenu yaliyo dhaifu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Basi, inueni mikono yenu inayolegea na kuimarisha magoti yenu yaliyo dhaifu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Basi, inueni mikono yenu inayolegea na kuimarisha magoti yenu yaliyo dhaifu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Kwa hiyo, itieni nguvu mikono yenu iliyo dhaifu na magoti yenu yaliyolegea. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Kwa hiyo, itieni nguvu mikono yenu iliyo dhaifu na magoti yenu yaliyolegea. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI12 Kwa hiyo inyosheni mikono iliyolegea na magoti yaliyopooza, Tazama sura |