Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Waebrania 11:14 - Swahili Revised Union Version

14 Maana hao wasemao maneno kama hayo waonesha wazi kwamba wanatafuta nchi yao wenyewe.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

14 Watu wanaosema mambo kama hayo, huonesha wazi kwamba wanaitafuta nchi yao wenyewe.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

14 Watu wanaosema mambo kama hayo, huonesha wazi kwamba wanaitafuta nchi yao wenyewe.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

14 Watu wanaosema mambo kama hayo, huonesha wazi kwamba wanaitafuta nchi yao wenyewe.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

14 Watu wasemao mambo kama haya, wanaonesha wazi kwamba wanatafuta nchi yao wenyewe.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

14 Watu wasemao mambo kama haya, wanaonyesha wazi kwamba wanatafuta nchi yao wenyewe.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

14 Maana hao wasemao maneno kama hayo waonesha wazi kwamba wanatafuta nchi yao wenyewe.

Tazama sura Nakili




Waebrania 11:14
9 Marejeleo ya Msalaba  

Huyo akamzalia mtoto wa kiume, akamwita jina lake Gershomu, maana alisema, Nimekuwa mgeni katika nchi ya ugeni.


tusiviangalie vinavyoonekana, bali visivyoonekana. Kwa maana vinavyoonekana ni vya muda tu; bali visivyoonekana ni vya milele.


Ninasongwa katikati ya mambo mawili; ninatamani kwenda zangu nikae na Kristo maana ni vizuri zaidi sana;


Hawa wote wakafa katika imani, walikuwa hawajazipokea zile ahadi, bali wakaziona tokea mbali na kuzishangilia, na kukiri kwamba walikuwa wageni, na wasafiri juu ya nchi.


Na kama wangaliikumbuka nchi ile waliyotoka, wangalipata nafasi ya kurudi.


Lakini sasa wanaitamani nchi iliyo bora, yaani, ya mbinguni. Kwa hiyo Mungu haoni haya kuitwa Mungu wao; maana amewatengenezea mji.


Maana hapa hatuna mji udumuo, bali twautafuta ule ujao.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo