Waebrania 1:5 - Swahili Revised Union Version5 Kwa maana ni kwa malaika yeyote yupi Mungu, Ndiwe mwanangu, Mimi leo nimekuzaa? Na tena Mimi nitakuwa kwake baba, Na yeye atakuwa kwangu mwana? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Maana Mungu hakumwambia kamwe hata mmoja wa malaika wake: “Wewe ni Mwanangu; mimi leo nimekuwa Baba yako.” Wala hakusema juu ya malaika yeyote: “Mimi nitakuwa Baba yake, naye atakuwa Mwanangu.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Maana Mungu hakumwambia kamwe hata mmoja wa malaika wake: “Wewe ni Mwanangu; mimi leo nimekuwa Baba yako.” Wala hakusema juu ya malaika yeyote: “Mimi nitakuwa Baba yake, naye atakuwa Mwanangu.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Maana Mungu hakumwambia kamwe hata mmoja wa malaika wake: “Wewe ni Mwanangu; mimi leo nimekuwa Baba yako.” Wala hakusema juu ya malaika yeyote: “Mimi nitakuwa Baba yake, naye atakuwa Mwanangu.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Kwa maana ni kwa malaika yupi Mungu aliwahi kusema, “Wewe ni Mwanangu; leo mimi nimekuwa Baba yako”? Au tena, “Mimi nitakuwa Baba yake, naye atakuwa Mwanangu”? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Kwa maana ni malaika yupi ambaye wakati wowote Mwenyezi Mungu alipata kumwambia, “Wewe ni Mwanangu; leo mimi nimekuzaa”? Au tena, “Mimi nitakuwa Baba yake, naye atakuwa Mwanangu”? Tazama suraBIBLIA KISWAHILI5 Kwa maana ni kwa malaika yeyote yupi Mungu alisema, Ndiwe mwanangu, Mimi leo nimekuzaa? Na tena Mimi nitakuwa kwake baba, Na yeye atakuwa kwangu mwana? Tazama sura |