Waamuzi 6:6 - Swahili Revised Union Version6 Israeli walitwezwa sana kwa sababu ya Wamidiani; nao wana wa Israeli wakamlilia BWANA. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Waisraeli walidhoofishwa sana na Wamidiani hata wakamlilia Mwenyezi-Mungu awasaidie. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Waisraeli walidhoofishwa sana na Wamidiani hata wakamlilia Mwenyezi-Mungu awasaidie. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Waisraeli walidhoofishwa sana na Wamidiani hata wakamlilia Mwenyezi-Mungu awasaidie. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Wamidiani wakaifanya Israeli kuwa maskini sana, hata Waisraeli wakamlilia Mwenyezi Mungu kumwomba msaada. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Waisraeli wakafanywa kuwa maskini sana na Wamidiani, hata Israeli wakamlilia bwana kuomba msaada. Tazama sura |