Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Waamuzi 20:4 - Swahili Revised Union Version

4 Huyo Mlawi, huyo mume wa mwanamke aliyeuawa, akajibu na kusema, Mimi nilifika Gibea ulio wa Benyamini mimi na suria yangu, ili tulale.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 Yule Mlawi, mume wa yule suria, akawajibu, “Mimi na suria wangu tulifika mjini Gibea, mji wa kabila la Benyamini ili tulale huko usiku.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 Yule Mlawi, mume wa yule suria, akawajibu, “Mimi na suria wangu tulifika mjini Gibea, mji wa kabila la Benyamini ili tulale huko usiku.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 Yule Mlawi, mume wa yule suria, akawajibu, “Mimi na suria wangu tulifika mjini Gibea, mji wa kabila la Benyamini ili tulale huko usiku.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 Hivyo yule Mlawi, mume wa yule mwanamke aliyeuawa, akasema, “Mimi na suria wangu tulifika Gibea ya Benyamini ili tulale huko.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 Hivyo yule Mlawi, mume wa yule mwanamke aliyeuawa, akasema, “Mimi na suria wangu tulifika Gibea ya Benyamini ili tulale huko.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

4 Huyo Mlawi, huyo mume wa mwanamke aliyeuawa, akajibu na kusema, Mimi nilifika Gibea ulio wa Benyamini mimi na suria wangu, ili tulale.

Tazama sura Nakili

Waamuzi 20:4
3 Marejeleo ya Msalaba  

Basi wana wa Benyamini walipata habari ya kuwa wana wa Israeli wamekwea kwenda Mispa. Wana wa Israeli wakasema, Tuambieni huo uovu ulitendekaje?

Nao wanaume wa Gibea wakaniondokea, na kuizingira hiyo nyumba pande zote juu yangu wakati wa usiku; walitaka kuniua, na suria wangu wakambaka nguvu, hata amekufa.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo