Waamuzi 15:3 - Swahili Revised Union Version3 Samsoni akasema, Safari hii nitakuwa sina hatia kwa hawa Wafilisti, hapo nitakapowadhuru. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Samsoni akamwambia, “Safari hii sitakuwa na lawama kwa yale nitakayowatendea Wafilisti.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Samsoni akamwambia, “Safari hii sitakuwa na lawama kwa yale nitakayowatendea Wafilisti.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Samsoni akamwambia, “Safari hii sitakuwa na lawama kwa yale nitakayowatendea Wafilisti.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Samsoni akawaambia, “Wakati huu, nitakapowadhuru Wafilisti, sitakuwa na lawama.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Samsoni akawaambia, “Wakati huu, nitakapowadhuru Wafilisti, sitakuwa na lawama.” Tazama sura |