Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Waamuzi 13:10 - Swahili Revised Union Version

10 Basi huyo mwanamke akaenda haraka, akapiga mbio, na kumwambia mumewe, akisema, Tazama, huyo mtu amenitokea, huyo aliyenijia siku ile.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 Mwanamke akakimbia upesi, akamwambia mumewe, “Tazama! Yule mtu aliyenijia siku ile amenitokea tena.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 Mwanamke akakimbia upesi, akamwambia mumewe, “Tazama! Yule mtu aliyenijia siku ile amenitokea tena.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 Mwanamke akakimbia upesi, akamwambia mumewe, “Tazama! yule mtu aliyenijia siku ile amenitokea tena.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 Basi yule mwanamke akaenda haraka na kumwambia mumewe, “Tazama mtu yule aliyenitokea siku ile yupo hapa!”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 Basi yule mwanamke akaenda haraka na kumwambia mumewe, “Tazama mtu yule aliyenitokea siku ile yupo hapa!”

Tazama sura Nakili




Waamuzi 13:10
4 Marejeleo ya Msalaba  

Ndipo yule mwanamke akaenda akamwambia mume wake, akisema, Mtu wa Mungu alinijia, na uso wake ulikuwa kama uso wa malaika wa Mungu, wa kutisha sana; nami sikumwuliza, Umetoka wapi? Wala hakuniambia jina lake;


Mungu akasikia sauti ya Manoa; naye malaika wa Mungu akamwendea yule mwanamke tena alipokuwa anaketi shambani; lakini mumewe, Manoa, hakuwapo pamoja naye.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo