Waamuzi 11:9 - Swahili Revised Union Version9 Basi Yeftha akawaambia wazee wa Gileadi, “Kama mkinirejesha kwetu tena ili kupigana na wana wa Amoni, naye BWANA akawatoa mbele yangu, je! Nitakuwa kiongozi wenu?” Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Yeftha akawaambia hao wazee wa Gileadi, “Kama mkinirudisha nyumbani kupigana na Waamoni halafu Mwenyezi-Mungu akawatia mikononi mwangu, mimi nitakuwa kiongozi wenu.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Yeftha akawaambia hao wazee wa Gileadi, “Kama mkinirudisha nyumbani kupigana na Waamoni halafu Mwenyezi-Mungu akawatia mikononi mwangu, mimi nitakuwa kiongozi wenu.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Yeftha akawaambia hao wazee wa Gileadi, “Kama mkinirudisha nyumbani kupigana na Waamoni halafu Mwenyezi-Mungu akawatia mikononi mwangu, mimi nitakuwa kiongozi wenu.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Yefta akawaambia viongozi wa Gileadi, “Ikiwa mtanirudisha kwetu kupigana na Waamoni, naye Mwenyezi Mungu akanisaidia kuwashinda, je, ni kweli nitakuwa kiongozi wenu?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Yefta akawaambia, “Ikiwa mtanirudisha kwetu kupigana na Waamoni, naye bwana akanisaidia kuwashinda, Je, ni kweli nitakuwa kiongozi wenu?” Tazama sura |