Waamuzi 1:5 - Swahili Revised Union Version5 Wakampata huyo Adoni-bezeki huko Bezeki; wakapigana naye, nao wakawapiga Wakanaani na Waperizi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Katika mji huo walimkuta mfalme Adoni-bezeki, wakapigana naye na kuwashinda Wakanaani na Waperizi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Katika mji huo walimkuta mfalme Adoni-bezeki, wakapigana naye na kuwashinda Wakanaani na Waperizi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Katika mji huo walimkuta mfalme Adoni-bezeki, wakapigana naye na kuwashinda Wakanaani na Waperizi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Huko ndiko walipomkuta huyo Adoni-Bezeki, nao wakapigana naye na kuwafukuza Wakanaani na Waperizi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Huko ndiko walipomkuta huyo Adoni-Bezeki, nao wakapigana naye na kuwafanya Wakanaani na Waperizi wakimbie. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI5 Wakampata huyo Adoni-bezeki huko Bezeki; wakapigana naye, nao wakawapiga Wakanaani na Waperizi. Tazama sura |