Ufunuo 9:8 - Swahili Revised Union Version8 Nao walikuwa na nywele kama nywele za wanawake. Na meno yao yalikuwa kama meno ya simba. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Nywele zao zilikuwa kama nywele za wanawake, na meno yao yalikuwa kama meno ya simba. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Nywele zao zilikuwa kama nywele za wanawake, na meno yao yalikuwa kama meno ya simba. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Nywele zao zilikuwa kama nywele za wanawake, na meno yao yalikuwa kama meno ya simba. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Walikuwa na nywele kama za wanawake, na meno yao yalikuwa kama ya simba. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Walikuwa na nywele kama za wanawake, na meno yao yalikuwa kama ya simba. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI8 Nao walikuwa na nywele kama nywele za wanawake. Na meno yao yalikuwa kama meno ya simba. Tazama sura |