Ufunuo 9:3 - Swahili Revised Union Version3 Nzige wakatoka katika ule moshi, wakaenda juu ya nchi, wakapewa nguvu kama nguvu waliyo nayo nge wa nchi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Nzige wakatoka katika moshi huo, wakaingia duniani, wakapewa nguvu kama ya nge. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Nzige wakatoka katika moshi huo, wakaingia duniani, wakapewa nguvu kama ya nge. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Nzige wakatoka katika moshi huo, wakaingia duniani, wakapewa nguvu kama ya nge. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Ndipo katika ule moshi wakatoka nzige wakaenda juu ya nchi, nao wakapewa nguvu kama zile za nge wa duniani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Ndipo katika ule moshi wakatoka nzige wakaenda juu ya nchi, nao wakapewa nguvu kama zile za nge wa duniani. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 Nzige wakatoka katika ule moshi, wakaenda juu ya nchi, wakapewa nguvu kama nguvu waliyo nayo nge wa nchi. Tazama sura |