Ufunuo 9:16 - Swahili Revised Union Version16 Na hesabu ya majeshi ya wapanda farasi ilikuwa milioni mia mbili; nilisikia hesabu yao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Nilisikia idadi ya majeshi wapandafarasi ilikuwa 200,000,000. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Nilisikia idadi ya majeshi wapandafarasi ilikuwa 200,000,000. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Nilisikia idadi ya majeshi wapandafarasi ilikuwa 200,000,000. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Idadi ya majeshi wapanda farasi ilikuwa milioni mia mbili. Nilisikia idadi yao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Idadi ya majeshi wapanda farasi ilikuwa 200,000,000. Nilisikia idadi yao. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI16 Na hesabu ya majeshi ya wapanda farasi ilikuwa milioni mia mbili; nilisikia hesabu yao. Tazama sura |