Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Ufunuo 7:8 - Swahili Revised Union Version

8 Wa kabila la Zabuloni elfu kumi na mbili. Wa kabila la Yusufu elfu kumi na mbili. Wa kabila la Benyamini elfu kumi na mbili waliotiwa mhuri.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 kabila la Zebuluni, 12,000; kabila la Yosefu, 12,000; na kabila la Benyamini, 12,000.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 kabila la Zebuluni, 12,000; kabila la Yosefu, 12,000; na kabila la Benyamini, 12,000.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 kabila la Zebuluni, 12,000; kabila la Yosefu, 12,000; na kabila la Benyamini, 12,000.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 kutoka kabila la Zabuloni elfu kumi na mbili, kutoka kabila la Yusufu elfu kumi na mbili, na kutoka kabila la Benyamini elfu kumi na mbili.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

8 kutoka kabila la Zabuloni 12,000, kutoka kabila la Yusufu 12,000, na kutoka kabila la Benyamini 12,000.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

8 Wa kabila la Zabuloni elfu kumi na mbili. Wa kabila la Yusufu elfu kumi na mbili. Wa kabila la Benyamini elfu kumi na mbili waliotiwa mhuri.

Tazama sura Nakili




Ufunuo 7:8
6 Marejeleo ya Msalaba  

Akamwita jina lake Yusufu, akisema, Bwana aniongeze mwana mwingine.


Babaye akakataa, akasema, Najua, mwanangu najua, yeye naye atakuwa taifa, yeye naye atakuwa mkuu; lakini ndugu yake mdogo atakuwa mkubwa kuliko yeye, na uzao wake watakuwa mataifa mengi


Katika wana wa Benyamini, vizazi vyao, kwa kufuata jamaa zao, na nyumba za baba zao, kama hesabu ya majina, kuanzia umri wa miaka ishirini na zaidi, wote walioweza kwenda vitani;


Wa kabila la Simeoni elfu kumi na mbili. Wa kabila la Lawi elfu kumi na mbili. Wa kabila la Isakari elfu kumi na mbili.


Baada ya hayo nikaona, na tazama, mkutano mkubwa sana ambao hapana mtu awezaye kuuhesabu, watu wa kila taifa, na kabila, na jamaa, na lugha, wamesimama mbele ya kile kiti cha enzi, na mbele za Mwana-kondoo, wamevikwa mavazi meupe, wana matawi ya mitende mikononi mwao;


Nyumba ya Yusufu nayo, wao nao walikwea kwenda juu ya Betheli; naye BWANA alikuwa pamoja nao.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo