Ufunuo 6:7 - Swahili Revised Union Version7 Na alipoufungua mhuri wa nne, nikasikia sauti ya yule mwenye uhai wa nne akisema, Njoo! Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Kisha, Mwanakondoo akavunja mhuri wa nne. Nikamsikia yule kiumbe hai wa nne akisema, “Njoo!” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Kisha, Mwanakondoo akavunja mhuri wa nne. Nikamsikia yule kiumbe hai wa nne akisema, “Njoo!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Kisha, Mwanakondoo akavunja mhuri wa nne. Nikamsikia yule kiumbe hai wa nne akisema, “Njoo!” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Alipouvunja ule muhuri wa nne, nikasikia sauti ya yule kiumbe wa nne mwenye uhai ikisema, “Njoo!” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Alipovunja ile lakiri ya nne, nikasikia sauti ya yule kiumbe wa nne mwenye uhai ikisema, “Njoo!” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI7 Na alipoufungua mhuri wa nne, nikasikia sauti ya yule mwenye uhai wa nne akisema, Njoo! Tazama sura |