Ufunuo 21:7 - Swahili Revised Union Version7 Yeye ashindaye atayarithi haya, nami nitakuwa Mungu wake, naye atakuwa mwanangu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Mshindi yeyote atapokea hicho, nami nitakuwa Mungu wake, naye atakuwa mwanangu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Mshindi yeyote atapokea hicho, nami nitakuwa Mungu wake, naye atakuwa mwanangu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Mshindi yeyote atapokea hicho, nami nitakuwa Mungu wake, naye atakuwa mwanangu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Yeye ashindaye atayarithi haya yote, nami nitakuwa Mungu wake, naye atakuwa mwanangu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Yeye ashindaye atayarithi haya yote, nami nitakuwa Mungu wake, naye atakuwa mwanangu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI7 Yeye ashindaye atayarithi haya, nami nitakuwa Mungu wake, naye atakuwa mwanangu. Tazama sura |