Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Ufunuo 2:8 - Swahili Revised Union Version

8 Na kwa malaika wa kanisa lililoko Smirna andika; Haya ndiyo aneneyo yeye aliye wa kwanza na wa mwisho, aliyekuwa amekufa, kisha akawa hai.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 “Kwa malaika wa kanisa la Smurna andika: “Mimi niliye wa kwanza na wa mwisho, ambaye nilikufa na kuishi tena, nasema hivi:

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 “Kwa malaika wa kanisa la Smurna andika: “Mimi niliye wa kwanza na wa mwisho, ambaye nilikufa na kuishi tena, nasema hivi:

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 “Kwa malaika wa kanisa la Smurna andika: “Mimi niliye wa kwanza na wa mwisho, ambaye nilikufa na kuishi tena, nasema hivi:

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 “Kwa malaika wa kundi la waumini lililoko Smirna, andika: Haya ndio maneno yake yeye aliye wa Kwanza na wa Mwisho, aliyekufa kisha akafufuka.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

8 “Kwa malaika wa kundi la waumini lililoko Smirna, andika: “Haya ndiyo maneno yake yeye aliye wa Kwanza na wa Mwisho, aliyekufa kisha akafufuka.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

8 Na kwa malaika wa kanisa lililoko Smirna andika; Haya ndiyo aneneyo yeye aliye wa kwanza na wa mwisho, aliyekuwa amekufa, kisha akawa hai.

Tazama sura Nakili

Ufunuo 2:8
8 Marejeleo ya Msalaba  

BWANA, Mfalme wa Israeli, Mkombozi wako, BWANA wa majeshi, asema hivi; Mimi ni wa kwanza, na mimi ni wa mwisho; zaidi yangu mimi hapana Mungu.

Nisikilize mimi, Ee Yakobo; na Israeli, niliyekuita; mimi ndiye. Mimi ni wa kwanza, na mimi ni wa mwisho pia.

Maana Kristo alikufa akawa hai tena kwa sababu hii, awamiliki waliokufa na walio hai pia.

ikisema, Haya uyaonayo uyaandike katika kitabu, ukayapeleke kwa hayo makanisa saba: Efeso, na Smirna, na Pergamo, na Thiatira, na Sardi, na Filadelfia, na Laodikia.

Mimi ni Alfa na Omega, mwanzo na mwisho, asema Bwana Mungu, aliyeko na aliyekuwako na atakayekuja, Mwenyezi.

Kwa malaika wa kanisa lililoko Efeso andika; Haya ndiyo anenayo yeye azishikaye hizo nyota saba katika mkono wake wa kulia, yeye aendaye katikati ya vile vinara saba vya dhahabu.

Mimi ni Alfa na Omega, mwanzo na mwisho, wa kwanza na wa mwisho.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo