Ufunuo 2:21 - Swahili Revised Union Version21 Nami nimempa muda ili atubu, wala hataki kuutubia uzinzi wake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Nimempa muda wa kutubu, lakini hataki kuachana na uzinzi wake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Nimempa muda wa kutubu, lakini hataki kuachana na uzinzi wake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Nimempa muda wa kutubu, lakini hataki kuachana na uzinzi wake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Nimempa muda ili atubu kwa ajili ya uasherati wake, lakini hataki. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Nimempa muda ili atubu kwa ajili ya uasherati wake, lakini hataki. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI21 Nami nimempa muda ili atubu, wala hataki kuutubia uzinzi wake. Tazama sura |