Ufunuo 16:4 - Swahili Revised Union Version4 Na huyo wa tatu akalimimina bakuli lake juu ya mito na chemchemi za maji; zikawa damu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Malaika wa tatu akamwaga bakuli lake katika mito na chemchemi za maji, navyo vikageuka damu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Malaika wa tatu akamwaga bakuli lake katika mito na chemchemi za maji, navyo vikageuka damu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Malaika wa tatu akamwaga bakuli lake katika mito na chemchemi za maji, navyo vikageuka damu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Malaika wa tatu akalimwaga bakuli lake katika mito na chemchemi za maji, nazo zikawa damu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Malaika wa tatu akalimwaga bakuli lake katika mito na chemchemi za maji, nazo zikawa damu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Na huyo wa tatu akalimimina bakuli lake juu ya mito na chemchemi za maji; zikawa damu. Tazama sura |
Basi, nilipokuja, mbona hapakuwa na mtu? Nilipoita, mbona hapakuwa na mtu aliyenijibu? Je! Mkono wangu ni mfupi, hata nisiweze kukomboa? Au je! Mimi sina nguvu za kuponya? Tazama, kwa kukemea kwangu naikausha bahari, mito ya maji naifanya kuwa jangwa; samaki wao wanuka kwa sababu hapana maji, nao wafa kwa kiu.