Ufunuo 12:15 - Swahili Revised Union Version15 Nyoka akatoa katika kinywa chake, nyuma ya huyo mwanamke, maji kama mto, ili achukuliwe na mto ule. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Basi, joka likatapika maji mengi kama mto, yakamfuata huyo mama nyuma ili yamchukue. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Basi, joka likatapika maji mengi kama mto, yakamfuata huyo mama nyuma ili yamchukue. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Basi, joka likatapika maji mengi kama mto, yakamfuata huyo mama nyuma ili yamchukue. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Ndipo lile joka likamwaga maji kama mto kutoka kinywani mwake, ili kumfikia huyo mwanamke, achukuliwe na mafuriko. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Ndipo lile joka likamwaga maji kama mto kutoka kinywani mwake, ili kumfikia huyo mwanamke na kumkumba kama mafuriko. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI15 Nyoka akatoa katika kinywa chake, nyuma ya huyo mwanamke, maji kama mto, ili achukuliwe na mto ule. Tazama sura |