Tito 3:2 - Swahili Revised Union Version2 wasimtukane mtu yeyote, wasiwe wagomvi, wawe wema, wakiwa wapole sana kwa watu wote. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Waambie wasimtukane mtu yeyote; bali waishi kwa amani na masikilizano, wawe daima wapole kwa kila mtu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Waambie wasimtukane mtu yeyote; bali waishi kwa amani na masikilizano, wawe daima wapole kwa kila mtu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Waambie wasimtukane mtu yeyote; bali waishi kwa amani na masikilizano, wawe daima wapole kwa kila mtu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 wasimnenee mtu yeyote mabaya, wasiwe wagomvi bali wawe wema, wakiwa wapole kwa watu wote. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Wasimnenee mtu yeyote mabaya, wasiwe wagomvi, bali wawe wapole, wakionyesha unyenyekevu kwa watu wote. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 wasimtukane mtu yeyote, wasiwe wagomvi, wawe wema, wakiwa wapole sana kwa watu wote. Tazama sura |