Sefania 2:2 - Swahili Revised Union Version2 kabla haijatolewa hiyo amri, kabla siku ile haijapita kama makapi, kabla haijawajia hasira kali ya BWANA, kabla haijawajia siku ya hasira ya BWANA. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 kabla hamjapeperushwa mbali kama makapi, kabla haijawajia siku ya hasira kali ya Mwenyezi-Mungu, kabla haijawajia siku ya ghadhabu ya Mwenyezi-Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 kabla hamjapeperushwa mbali kama makapi, kabla haijawajia siku ya hasira kali ya Mwenyezi-Mungu, kabla haijawajia siku ya ghadhabu ya Mwenyezi-Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 kabla hamjapeperushwa mbali kama makapi, kabla haijawajia siku ya hasira kali ya Mwenyezi-Mungu, kabla haijawajia siku ya ghadhabu ya Mwenyezi-Mungu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 kabla wakati ulioamriwa haujafika na siku ile inayopeperusha kama makapi, kabla hasira kali ya Mwenyezi Mungu haijaja juu yenu, kabla siku ya ghadhabu ya Mwenyezi Mungu haijaja juu yenu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 kabla ya wakati ulioamriwa haujafika na siku ile inayopeperusha kama makapi, kabla hasira kali ya bwana haijaja juu yenu, kabla siku ya ghadhabu ya bwana haijaja juu yenu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 kabla haijatolewa hiyo amri, kabla siku ile haijapita kama makapi, kabla haijawajia hasira kali ya BWANA, kabla haijawajia siku ya hasira ya BWANA. Tazama sura |