Ruthu 4:2 - Swahili Revised Union Version2 Kisha akatwaa watu kumi miongoni mwa wazee wa mji, akawaambia, Ninyi nanyi, ketini hapa. Wakaketi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Ndipo Boazi akawaita wazee kumi wa mji, akawaomba wao pia waketi hapo. Wakaketi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Ndipo Boazi akawaita wazee kumi wa mji, akawaomba wao pia waketi hapo. Wakaketi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Ndipo Boazi akawaita wazee kumi wa mji, akawaomba wao pia waketi hapo. Wakaketi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Boazi akatwaa watu kumi miongoni mwa wazee wa mji, akawaambia, “Ketini hapa.” Nao wakaketi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Boazi akatwaa watu kumi miongoni mwa wazee wa mji, akawaambia, “Ketini hapa.” Nao wakaketi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 Kisha akatwaa watu kumi miongoni mwa wazee wa mji, akawaambia, Ninyi nanyi, ketini hapa. Wakaketi. Tazama sura |